BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SALAMU ZA HERI YA MWAKA MPYA 2013 KUTOKA KWA BLOG JUMAMTANDA.



BLOG YENU YA JUMAMTANDA inayo furaha ya dhati kwa jamaa, ndugu na marafiki wetu wakiwemo wasomaji wote ndani ya Tanzania na mipaka ya nchi yetu inawakatikia kheri na salamu za Mwaka Mpya 2013 uwe wa mafanikio katika familia zetu baada ya kuwa pamoja katika mwaka 2012.



 Ni jambo la kumshukuru mwenyewe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka huu 2013 kwani wapo wapendwa wetu ambao sio kwa makusudi yao walitamani kuuona mwaka huu lakini hawakuweza kuuona kutokana na kutangulia mbele za haki wengine kukumbwa na maradhi mbalimbali yaliyopekea kupata vilema vya kudumu wakiwa katika wodi za hospitalini na majumbani tuwaombee kwa imani zetu kwa mwenyezi mungu awa nafuu na kuwaponya ama nafuu ili kuendelea na majukumu yao ndani za familia.



Pia tunaomba wasomaji wetu wote wa Blog  yenu muipendayo kutoa maoni yenye lengo la kuboresha kupitia kisaduku cha maoni kilichopo ndani ya blog ili kuweza kuyafanyia kazi maoni hayo ama kupitia barua pepe na namba ya simu hapa chini.


Asante sana.

Meneja Blog Juma Mtanda, Morogoro. 
barua pepe:
jumamtanda@gmail.com
jphoto2005@yahoo.co.uk
simu ya kiganjani.
0715 53 70 30.
0784 53 70 30.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: