Shakira na mpenzi wake Gerard Piqué ambaye
ni mchezaji wa mpira timu ya FC Barcelona ya Hispania wameachia picha kadhaa katika
mtandao zinazoonyesha ujauzito wake wakati wakisherehekea ujio wa mtoto wao wa kwanza
anayetarajiwa kuzaliwa wa kiume.
Shakira na mchezaji
huyu wa FC Barcelona walikutana mwaka 2010, pale alipotokea kwenye music video
ya Shakira, (waka waka, this time for Africa) ambao ulikua ndio wimbo wa kombe
la dunia.
0 comments:
Post a Comment