MTOTO ambaye ahakufahamika jina lake akiwa ameokotwa na wasamalia wema.
Mjumbe wa serikali ya mtaa ya Fumilwe C kata ya mjipya Manispaa ya Morogoro, Jumanne Seleman akiwa amempakata mtoto mdogo wakati akiwa kwenye gari wakielekea kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro baada ya vijana wawili Chiluma Ganjaga na Dickson Samuel eneo la Mtawala kumzuwia mtoto huyo asivuke barabara wakati akiwa pakee yake, baada ya hatua hiyo walimshikilia mtoto huyo kwa lengo la kuonana na mzazi wake ama mtu aliyongoza naye bila mafanikia kuanzia majira ya saa 7 mchana mpaka wakati huu wa majira ya saa 5:45 jioni.
0 comments:
Post a Comment