Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya
Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
|
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria
katika maadhimisho ya Siku ya
Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji
Kiongozi Mhe Fakihi Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne
Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Mathias Chikawe na Mkuu wa mkoa wa
Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo Februari 6, 2013 baada ya kuhutubia
katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania
jijini
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila
katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini.
Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman.
Viongozi wa dini ya Kihindu
wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuomba dua wakati
wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania
jijini. Viongozi wa dini za Kiislamu na Kiktristo pia walishiriki kwenye
maadhimisho hayo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu ya
Tanzania katika maadhimisho ya Siku ya Sheria
nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na majaji wakuu wastaafu na viongozi wengine katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya
Mahakama Kuu ya Tanzania jijini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu Rais
wa Mawakili leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya
Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini.
0 comments:
Post a Comment