Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake jana Februari Mosi, 2013.
Rais Kikwete akitia saini baada ya kuthibitisha maelezo yake
binafsi kwenye Fomu ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za
kupatiwa Kitambulisho hicho nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
(NIDA) Bwana Dickson E Maimu.
JK akitia saini Kitabulisho cha Taifa wakati
alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake jana, Februari Mosi, 2013. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson E Maimu.Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment