Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akichangia hoja katika Bunge- Dodoma.
Mussa Zungu Azzan (ILALA) na Mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah (kulia) wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma.
Naibu
Waziri wa Fedha Janet Mbene (kulia), Mwingulu Nchemba (katikati) , na
Vick Kamata (Viti Maalumu ) kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja Bungeni – Dodoma.
Mbunge
wa Peramiho Jenista Mhagama akichangia na kuunga mkono hoja ya Mbunge
wa Nzega Dkt,Hamis Kigwangala ya kuita Serikali ianzishe mpango
maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa Mikopo ya
Vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda venye uhusiano wa moja kwa
moja na kilimo.
Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/#ixzz2JoXybAiP
0 comments:
Post a Comment