BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWZZ : AJALI YA LORI NA PIKIPIKI YAJERUHI MWENDESHA PIKIPIKI MORO.

Ajali imetoke muda huu kati ya lori na pikipiki ,Ajali hii imetokea barabara Ya Morogoro Dar es salam mchana huu na chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika hivyo nakusihi endelea kuwa nasi hapa audifacejackson blog kwa habari na picha zaidi kuhusu ajali hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wakisaidiwa na wasamaria wema ili kuwaweka kando ya barabara na kuwapa huduma ya kwanza kabla ya kuwafikisha hospitali kwa matibabu zaidi, 

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: