Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi na wanachuo wa chuo kikuu cha waislam Morogoro mara baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la teknoljia ya habari na mawasiliano na kitivo cha sayansi katika chuo hicho.
Rais
Jakaya Kikwete akifungua kitambaa ikiwa ishara ya kuweka jiwe la msingi
jengo la teknoljia ya habari na mawasiliano ya chuo kikuu cha waislam
cha Morogoro lililopo ndani ya chuo hicho mkoani Morogoro, kushoto kwake
ni makamu mkuu wa chuo cha waislamu Morogoro, Mustafa Njozi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkuu wa chuo kikuu cha waislamu Morogoro,
Hajat Mwamtumu Malale kushoto wakifungua kitambaa ikiwa ishara ya
ufunguzi wa jengo la kitivo cha sayansi wakati wa ziara ya rais ya
kuweka jiwe la msingi jengo la teknolojia ya habari mawasiliano na
kufungua jengo la kitivo cha sayansi katika chuo hicho mkoani Morogoro.
JK akipata taarifa kutoka kwa Makamu mkuu wa chuo cha waislam Morogoro Profesa Mustafa Njozi na kulia ni mkuu
wa chuo hicho Hajat Mwamtumu Malale.
wa chuo hicho Hajat Mwamtumu Malale.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa jengo la kitivo cha sayansi katika chuo kikuu cha waislamu Morogoro. kutoka kulia ni makamu
mkuu wa chuo cha waislamu Morogoro, Mustafa Njozi, mkuu wa chuo kikuu
cha waislamu Morogoro, Hajat Mwamtumu Malale na kushoto ni waziri wa
elimu Dk Shukuru Kawambwa na (mwenye kanzu) ni Mwenyekiti wa taasisi ya
kiislam ya isalamic Foundation Morogoro, Aref Nahd.
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni, kulia ni Makamu mkuu wa chuo cha waislam Morogoro Profesa Mustafa Njozi na kushoto ni Mkuu wa chuo hicho Hajat Mwamtumu Malale.
Profesa Juma Mikida wa kitivo cha Sheria na Sharia chuo kikuu cha waislam Morogoro akisoma dua.
Mkuu wa chuo kikuu cha waislamu Morogoro Hajat Mwamtumu Malale akipanda mti huku JK akishuhudia tukio hilo ndani ya chuo hicho.
Mwandishi
wa Mwaananchi Morogoro Lilian Lucas kushoto na Latifa Ganzel wa Uhuru
wakijadiliana jambo wakati JK akihutubia wananchi na wanachuo katika
shghuli hiyo.
Profesa Juma Mikidadi aliyekaa kwenye kiti akiwa na wananchi wakati wa tukio hilo.
Wananchi mbalimbali wakisikiliza hutuba ya JK.
Wapigapicha wa luninga wakiwa na kamera zao wakichukua matukio mbalimbali katika shughuli hiyo.
Waandishi wa habari wakiwa katika harakati za kuchukua dondoo wakati wa tukio hilo.
Sehemu ya wanachuo wakiafuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea.
JK akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo hicho mara baada ya kumaliza kuwahutubia waanachuo na wananchi.
0 comments:
Post a Comment