BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

POLISI MORO SC NA YANGA SC ZATOSHANA NGUVU JAMHURI MOROGORO.

Mlinzi wa Polisi Moro SC, Casto Ngwangila akimtoka mshambiliaji wa Yanga SC Said Bahanuzi wakati wa mchezo wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara katika mchezo mkali uliofanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo katika mchezo huo timu hizo zilitoshana nguvu ya sare ya bao 0-0 mkoani hapa. 
Picha JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: