Mkurugenzi Mtendaji wa chama cha wakulima wa bustani Tanzania (TAHA) Jaqueline Mkindi akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa ofisi ya Taha na mradi wa wakulima wa bustani kanda ya kati yenye makao makuu mkoani Morogoro, katika mkutano huo ulihudhuriwa na wakulima kutoka vijiji 11 wa Zanzabar, Mvomero na Kilosa Morogoro na kufanyika hoteli ya Hilux Morogoro.
Kaimu Katibu tawala mkoa wa Morogoro, Lameck Noah wa pili kutoka kushoto na Afisa Kilimo mkoa wa Morogoro, Eulalia Minja wa kwanza kushoto wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakionyeshwa kweenye mtandao wakati wa ufunguzi wa ofisi ya Taha na mradi wa wakulima wa hortculture ambapo kufunguliwa kwa ofisi hiyo kutasaidia wakulima kuinua viwango vya uzalishaji, ubora na uuzaji kwa wakulima wadogo wadogo ili kuboresha viwango vya uzalishaji na upatikanaji wa masoko kwa vikundi vya wajasiliamali katika kanda hiyo iliyofanyika hoteli ya Hilux mkoani Morogoro.
Sehemu ya wakulima wa bustani wakifuatialia jambo
Sehemu ya kundi lingine la wakulima wa bustani wakifuatialia jambo.
Mtaalam akiwasilisha mada kwenye ufunguzi huo
Mwenyekiti wa Morogoro Press Club na mwandishi wa IPP MEDIA Morogoro, Idda Mushi kushoto akiwajibika kwa kuchukua picha na waandishi wenzake wa TBC 1, Nna Salum Abood Media Morogoro.
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Morogoro, Lameck Noah mweenye tai mstari wa mbele waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na wakulima mara baada ya kufungua ofisi ya Taha na mradi wa wakulima wa hortculturepili, wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa chama cha wakulima wa bustani Tanzania (TAHA) Jaqueline Mkindi na watatu kutoka kulia ni Afisa Kilimo mkoa wa Morogoro, Eulalia Minja.
0 comments:
Post a Comment