Mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie akikwatuliwa na mlinzi wa Ars
enal, Bacary Sagna ndani ya eneo la hatari na kujazaa penalti iliyojaza bao la kusawazisha likipachikwa nyavuni na mshambuliaji huyo na kufanya matokeo ya mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.HAPA Robin van Persie akifunga penalti hiyo dakika ya 44.Mshambiliaji wa Arsenal Theo Walcott akifunga bao dakika ya pili kipindi cha kwanza huku mlindamlando wa Manchester United David de Gea asijuiwe la kufanya katika mchezo huo.
0 comments:
Post a Comment