![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-snc6/9700_569664139715556_653676981_n.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/s480x480/603841_638740289474607_57824375_n.jpg)
TAARIFA zilizotufikia punde kutoka mahakama kuu imetupilia mbali hoja mbili za serikali za
kutaka kesi ianze kusikilizwa upya, sasa tumebaki na hoja moja tu ambayo
italetwa tena tarehe 3 mwezi wa sita mwaka huu. Kwa habari zaidi endelea kutembelea Blog hii.
0 comments:
Post a Comment