Mkongwe wa Muziki hapa Nchini, Bi.Kidude amefariki
dunia mjini
Zanzibar.
MSANII
WA MUZIKI WA TAARABU NCHINI TANZANIA KUTOKA VISIWANI ZANZIBAR FATUMA
BINT BARAKA MAARUFU KAMA BIBI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA LEO HUKO VISIWANI
ZANZIBAR.
NA KWA KUMKUMBUKA TU AMESHA WAHI KUFANYA KAZI NYINGI IKIWEMO
MHONGO WA JANG'OMBE, KIJITI, ALAMINADURA, YA LAITI, AHMADA NA NYINGINE
NYINGI.
Habari zaidi endelea kutembelea
JUMAMTANDA.BLOG.
0 comments:
Post a Comment