Kimenuka pale Afrika ya Kusini wanawake wasagaji wameandamana kudai haki zao
kushinikiza serikali ya nchi hiyo iwatambue na ihalalishe mapenzi ya jinsia moja.
Hii jamani waumini wa dini zote tuliombee taifa la Tanzania yasitukute haya maana ni upuuzi ulio na maana kwa watu wenye kufuata maadili.
0 comments:
Post a Comment