BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAADHIMISHO YA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA

 Moja ya kati ya miti 2300 ukiwa umepnda wakati wa maadhimisho ya siku ya upandaji miti kitaifa iliyofanyika kando ya Bwawa la Mindu kata ya Magadu Manispaa ya Morogoro ambapo jumla ya miti 2300 ilipandwa katika eneo hilo mkoani Morogoro.
Mwandishi Mpiga Picha, Juma Mtanda ambaye ni Meneja wa Blog JumaMtanda.blogspot.com akipanda mti wakati wa maadhimisho ya siku ya upandaji miti kitaifa iliyofanyika kando ya Bwawa la Mindu kata ya Magadu Manispaa ya Morogoro ambapo jumla ya miti 2300 ilipandwa katika eneo hilo mkoani Morogoro.  
Picha kwa hisani ya AUDIFACEBLOG.COM
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: