MFANYABISHARA WA KUUZA MIHOGO NA MATANGO RASHIDI YASSIN AKIMTAYARISHIA MTEJA WAKE TANGO KATIKA MTAA WA FONDOGOLO MANISPAA YA MOROGORO. PICHA JUMAMTANDA.BLOG
MUUZA MADAFU KATIKA MANISPAA YA MOROGORO AKITAYARISHA DAFU KWA KUTAKA ILI MTEJA AWEZE KUNYWA MAJI HUKU AKIWA AMEZUNGUKWA WAKATI WA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA YA UPANDAJI MITI KANDO YA BWAWA LA MINDU ILIYOADHIMISHWA MKOANI MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment