Rais Salva Kiir (kulia) akimsalimia mgeni wake wa Sudan Omar al Bashir
alipowasili uwanja wa ndege wa Juba, Ijuma, Aprili 12, 2013.
Rais wa Sudan Omar al Bashir akikaguwa gwaride la heshima kwenye uwanja
wa ndege wa Juba alipowasili kwa ziara ya kwanza Sudan Kusini.
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (kulia) amkaribisha mwenzake wa Sudan
Omar Hassan al Bashir nje ya afisi yake mjini Juba Ijuma, Aprili 12,
2013.Rais wa Sudan Omar al Bashir na mwenyeji wake wa Sudan Kusini Salva Kiir
wakizungumza na waandishi habari wakati wa mkutano wa pamoja mwishoni
mwa ziara ya kihistoria ya bashir huko Sudan Kusini. http://www.voaswahili.com
0 comments:
Post a Comment