BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TUMEFIKIA PABAYA JAMANI, WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI KATIKA GARI PEMBENI MWA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM.

KUMRADHI.

Tabia hii kwa jiji letu imekuwa ni kawaida sana watu kumalizana katika vibanda vya walinzi,katika majumba mabovu au ambayo hayajaisha ama katika magari kama Hawa wapenzi wasiokuwa na nidhamu hata kidogo walivyonaswa wakifanya ngono eneo la pembezoni mwa barabara huku wakiwa wameegesha gari lao

Tukio hili lilitokea week end hii wakati wakitoka club na kuamua kumalizana hapo hapo kwenye gari: Ni aibu sana kwa tukio hili asante mdau wetu kwa kunitumia tukio hili.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: