BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VIGOGO WIZARA YA ARDHI KORTINI KWA UBADHIRIFU WA MABILIONI YA FEDHA.

Simoni Lazaro (kushoto) akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Gerald Mango.
Watuhumiwa hao wakiwa mahakamani.
Charles Kijuba akikwepa kamera mahakamani.
 
MAOFISA watatu waandamizi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi leo wameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za ufujaji wa pesa za serikali zaidi ya milioni 200. 
Watuhumiwa hao ni Simon Lazaro ambaye alikuwa ni Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Sera, Gerald Mango, Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi , na Charles Kijuba, Kaimu Mhasibu Mkuu.

Watuhumiwa hao wamekana mashitaka na mahakama hiyo imesema kuwa dhamana iko wazi.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: