Show ya
miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID
kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.
Moja
ya sababu anayosema TID aka Mnyama ni kuwa ana mkataba mwingine wa show
unaolipa mkwanja zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya
ugomvi wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three
reason why i can’t do lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better contract
pays me better than.No.2 I really don’t want to be between anybody’s
conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…No.3 nataka kuoa
muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I
have been thru same shit.”
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiz
0 comments:
Post a Comment