Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo
Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe walipokutana na kufanya
mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa,
Ethiopia.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvbeonE_Z9VleOTx0q0fIP3YY41Er60zyTeOolk8dUMZ80XT312OwIdKxsGfCNsi0CHcBVs3POog0OqP70BLWSpQiZWujjr3DjK6YyfnBEMRhuWnKS-NneEpfNM7DZ67rokCLnS5pRK1Y/s640/ad20.jpg)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa
Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh Liberata Mulamula
walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri
Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo Mkurugenzi
Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe na ujumbe wake walipokutana pembeni ya
mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU)
katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa
UNAIDS Michel Sidibe pamoja na Mratibu wa Masuala ya Ukimwi wa Marekani
Balozi Eric Goosby walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni ya
mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU)
katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa
Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana na kufanya mazungumzo
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika
(AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Waziri Mkuu wa
Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana na kufanya mazungumzo
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika
(AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulishaWaziri Mkuu wa
Jamaica Bi. Portia Simpson Miller kwa Mhe Gideon Moi, Seneta wa Kaunti
ya Baringo nchini kenya na ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha KANU
cha nchi hiyo walipokutana pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika Mkutano wa kawaida wa 21 wa
Umoja wa Afrika katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa,
Ethiopia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa
taaisi ya kimataifa inayoshughulikia mapambano dhidi ya Ukimwei, Kifua
Kikuu na Malaria ya The Global Fund Dkt Mark Dybil na afisa wa taasisi
hiyo Bi Shu-shu Tekle-Haimanot walipokutana na kufanya mazungumzo
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika
(AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Nchi za
Maziwa Makuu (ICGLR) professor Ntumba Luaba na ujumbe wake walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia.PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment