WANAFUNZI wa shule ya msingi Vitonga iliyopo kata ya Mlali wilaya ya Mvomero wakiwa wamekusanyika msatarini wakati wakimsubiri mwalimu wa zamu ili kuwapa maelekezo kabla ya kuwaruhusu ili kwenda nyumb
ani baada ya kumalizika kwa masomo ya kutwa ambapo shule nyingi zilizopo pembezoni mwa mijini zimekuwa zikabiliwa na changamoto mbalimbali mkoani Morogoro.
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
HAPA mwanafunzi huyu akielekea mstari kwa ajili ya kupata maelekezo shuleni hapo.
0 comments:
Post a Comment