BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAYA NDIYO MATUKIO YOTE YA MAZISHI YA MWANA HIP POP LANGA KILEO KUANZIA KUAGA NYUMBANI HADI MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Mwili wa marehemu ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni.
Maandalizi ya maz
ishi.
Jeneza lenye mwili wa Langa likiingizwa kaburini.
Mama Mzazi wa marehemu Langa akiweka udongo kwenye kaburi la mwanaye.
Ngugu zake marehemu wakiweka udongo kaburini.
Kaburi likijengwa.
Sehemu ya umati uliohudhuria mazishi hayo.
---
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu Langa
Jeneza lenye mwili wa Langa likiwe mbele ya waombolezaji.
Dk. Cheni akiuaga mwili wa Langa.
Ridhiwan Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu..
Prodyuza P Funky akiaga.
Mtangazaji Adam Mchomvu akitoa heshima zake.
Kala Jeremiah akimuaga Mwana Hip Hop mwenzake.
Jokate Mwegelo naye akitoa heshima zake za mwisho.
DJ Choka akiaga.
Miraji Kikwete akiuaga mwili wa Langa.
C Pwaa akitoa heshima za mwisho.
Dada wa marehemu Langa akilia kwa uchungu.
Mwili wa marehemu ukipelekwa kwenye gari tayari kwa safari ya makaburini.
Jeneza la likiwa kwenye gari kuelekea makaburini.HILI NDILO KABURI LA MWANAHIP POP LANGA KILEO.tunaupumzisha mwili wa marehemu Langa sasa . .

  MSANII WA FILAMU NCHINI DK. CHENI AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU...
RIDHIWANI KIKWETE AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment