Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Morogoro na Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini, Innocent
Kalogeris akimnadi mgombea wa udiwani kata ya Ifakara mjini (hayupo pichani) Kalogeris aliwaeleza wananchi waliohudhuria mkuta
no wa kampeni kumchagua mgombea wa CCM ili aweze kutekeleza ilani ya chama hicho ambapo uchaguzi huo umekuja kutokana na kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki dunia hivi karibuni.
no wa kampeni kumchagua mgombea wa CCM ili aweze kutekeleza ilani ya chama hicho ambapo uchaguzi huo umekuja kutokana na kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki dunia hivi karibuni.
Wabunge wa morogoro waheshimiwa Sarah Msafiri na Dk Haji Ponda wakiwa katika mkutano huo wa kampeni ifakara mjini
Umati uliojitokeza katika mkutano huo
0 comments:
Post a Comment