BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KISA NA MKASA: ANUSURIKA KUJIUA KUTOKANA NA MARADHI YA NGOZI


“Hujafa Hujaumbika!”

MSIKILIZE SYLVESTER KARANJA KATIKA VIDEO HAPO CHINI.
MASAIBU yake ya jinsi alivyozaliwa katika hali ya kawaida kama binadamu wengine wasio na ulemavu wa aina yoyote ile, hadi alipopatwa na kipele katika ujana wake, kipele ambacho kilibadili muonekano wake na kumsabab
ishia sononi ambayo ilimsukuma kutaka kuutoa uhai wake.

Anasimulia kuwa alijaribu mara mbili kufanya hivyo lakini kila mara alipojaribu, alikwama.

Je! Maisha yake ya sasa yakoje ? Msikilize akizungumza, kwani ni nani ajuaye, huenda ikawa ni msaada kwa mtu mwingine aliyekata tamaa?.
  
SIHA NJEMA: Maradhi ya ngozi
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: