Nyani ambao ni maarufu sana katika lango Kuu la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoa wa Arusha,hifadhi hiyo ni kati ya hifadhi tatu hapa Tanzania zilizoshinda katika maajabu saba (7) ya Afrika mwaka huu. |
Wanyama aina ya Nyani ambao ni maarufu sana katika lango Kuu la Lodware kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoa wa Arusha wakioneshana upendo kwa kutoana chawa. |
Kwa raha zote anatolewa chawa |
0 comments:
Post a Comment