BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA MSANII WA BONGO FLEVA BARNABA W(BI MARIAMUARUBETH) YALIYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.


MWILI WA MAREHEMU MARIAMU ARUBETH UKIWA NDANI YA JENEZA WAKATI WA TUKIO LA KUAGA MWILI HUYO KABLA YA KUELEKEA MAKABURINI KWA AJILI YA MAZISHI.
Mama Diamond

Siku ya leo jumapili ndio ilikuwa siku husika kabisa katika kutoa heshima za mwisho kwa Bi Mariamu 
Arubeth aliezaliwa 4/12/1967 na kufariki tarehe 22/6/2013.

Zifuatazo ni picha za Mazishi Ya Mama mzazi wa Barnaba kuanzia nyumbani hadi makaburini....





















Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: