Mkurugenzi
wa Idara ya Mambo ya Nje ya CCM, Dr Asha Rose Migiro akisalimaina na
Mbumge wa Kondoa Kusini wakati alipowasili kwenye ukumbiu wa Msekwa
mjini Dodoma Juni 29, kuhushuria kikao cha wabunge wa CCM. Katikati ni
Mbunge wa Mpwapwa ns Nsibu Waziri
ws Viwanda na Biashara, Gregory Teu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Bunge,Jenista Mhagama.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya
kuanza kwa kikao chao kwenye ukumbi wa msekwa mjini Dodoma Juni 29,
2013.
Washiriki
wa Mkutano wa Wabunge wa CCM wakiimba wimbo wa CCM kabla ya kuanza kwa
kikao chao kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, 2013. Kutoka
kulia ni Spika wa Bunge Anne makinda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda
(mwenyekiti) Katibu Mkuu wa CCm, Abdulrahman Kinana na Jenista Mhagama
ambaye ni Katibu.
Wabunge
wa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wao, waziri Mkuu, Mizengo Pinda
alipozungumza katika kikao chaokwenye ukumbiwa Msekwamjini Dodoma Juni
29, 2013.picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment