![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhsRmWeHgVXS3cTK6L0lsr8Y-85BBTBe4PM6fJkI4F5Cqs0-4nRW9xaJyVLdCPhRJYCpvoJhYlUNKMHAxkWtIB4YtSZw6UYwOcGijW1JBV0LYssuTeeMd7TEnCOywcf7fSOT_SPIEv/s640/A4093.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia), Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis (kushoto) wakifuatana na viongozi wengine, mara alipowasili katika uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika ufunguzi wa matembezi Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLHKvvTc2awGxxu5GGdVrDz5dy6U-1kMx3Hfx1zHcCT9mjRiYY_uHz3wFzLYsn9Lxig35IxauwsjIuOKHhqes1ORH5QXm1q5jOJ0S4rH7OQhpsruFuhhZ67Uj9znZGWUHhJWv56vnC/s640/A4085.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis, alipowasili katika uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, kwa ufunguzi wa matembezi Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGZWGfm0HZir8Yb7UKEARBjAt6qD5YtR0d3EDCPjoVKBsJHZGBz2xb8V9wCjjOY-qnl2KzJKcxJ2BzZ591GNquhti5HY32UDtAkwTl1UIqAm0OApNV7YCV4umlGl79zX7CQS1yS8GU/s640/A4087.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, alipowasili kwa ufunguzi wa matembezi hayo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCJBIdYzII44aCo9vDaZGnWB_c3j70Nw6h88BvJBustFMVEDPh22Ny167ZH3jcWlC9hh6GCn1RNXC2m0AOXk3XowBW1reOnqWoNil2hfcDql1yK3SDlYGkULoA7R-w4PHTHvqszP3X/s640/A4121.jpg)
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,(kutoka kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Ali Iddi na Mhe Dk Mauwa Daftari mjumbe wa Halmashauri Kuu wa CCM Taifa (NEC) wakiwa katika hafla hiyo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCvqWyWojDmT_ehElKqcBJvPvngS-Je3Rw6ymI15maUdMOY9p49yXWAWgvOc__nsexV33pxo_DjwMjkrSAxIBhqBIDSPL1dTIEU27K2o1HhGibJQWVXTyFjV1-TPveWKrYTMNqUG5w/s640/A4134.jpg)
Vijana wasoma Utenzi Saumu Mohammed na Rehema Juma, wakiwaburudisha wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja wa Vijana UVCCM Zanzibar ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhOv_SUgPoshieJbOsrJ2f65LLS1ofFg9GsCch0B1s09igcCZLp1IwQHJlMPzqBWmvtmUWDTNcaX6H2m9OCooWKlWeMF3YX9Vq5LMTWbOswUlUmHjftglgOmY1HeIKZ2TpRA95zFDCP/s640/A4374.jpg)
Vijana wa Chama cha Mapinduzi, UVCCM wa Mikoa na Wilaya wakiwa na picha za viongozi waasis na wa sasa katika matembezi hayo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwQQYXQne7THfgebWC4mQtXsmgcXAflX6w8ZQOMpYD8QepCecTtK61euu4zaAX-HGfvaTyRL_BnPpNQZc0e_6Yvp-3pawZ0rQld49v8UrOzOjULtxNWbdEUYNNilAB0EN8pfefaKlM/s640/A4386.jpg)
Kikundi cha Brass Band kikiongoza matembezi hayo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhX-QLb_00YO39OBCtYpvYdHDDcCSPmYLVJKOE7LgnVFIZRnNKEzLNx6QxWLmrDEIrkGFfIMlbUccedZ8rXjLyOrGr1ukTOBhyCfJKjQcI5dM34hRceF3C5OJgO-Z1TT0aTBcSsxgJu/s640/A4127.jpg)
Vijana wa Chama cha Mapinduzi, UVCCM wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika uwanja wa mpira wa Micheweni kwa Shaamemata, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakisubiri ufunguzi wa matembezi ya umoja huo ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjOQUaRzy_rlDKjQ_FdWxT58P9tTyjHFcMYnJhzAoynCfu6oeXho2zpWAtFDmKwOc3aOqZAZ21Hz0XHWCUvDr16_qmlri3XpoutnfO48vxVqK7ozeKplYfT_X8XfTSQ1SBkvMoFpMah/s640/A4169.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni MakamuMwenyekiti wa CCM Zanzibar, akipokea risala ya Veterani wa Umoja wa Vijana UVCCM Zanzibar, kutoka kwa Mzee Mohamed Hassan Ali, katika ufunguzi wa Matembezi hayo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEga3C-vdx9mQQpCpJOX4QwKeBR2TTlvttEozHTqH2YO7TBvlSLLQQltngGuKG4IuY2EPbI4N9N1qUC45-QcdziWN_MxbSvuvuGpCyMH7eQJMzS9B-K528Qk-X3J7tvsB2IpJJKSS8Gu/s640/A4229.jpg)
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis, akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wakati alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, kuzungumza nao.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgv1q5QDoj6e3VLjEMilkZuE08JTTKLc8W4tD0t211qvLj7DPFkPMjyS6JOMntMtXwjhLTjA7HzmTo_Lag_6d3A0oKv51jvCH16SqTQJeYVeEGywt9qSLrstQu-vvaJtUdyJthb-z0r/s640/A4253.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, alipokuwa akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmGs1-lrQBqyC9AAACSs0je02tCDOYB3z6iKDR5PDuiNE44gjyA_k3WJYjiOT9MDYg6_LamE301ZBJ2S0djtexypxbsGYorKrPYEsHX8SxzgukjuiwijJ6UJvons6moMEy4RubUTB_/s640/A4370.jpg)
Vijana wa CCM Zanzibar ,UVCCM wakiwa katika Matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyofunguliwa jana na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein. (Picha na Ramadhan Othman)
0 comments:
Post a Comment