BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BAADA YA KUACHA POMBE MSANII WA BONGO MOVIE, ELIZABERT MICHAEL a.k.a LULU HUU NDIYO MWONEKANO WAKE MPYA KWA SASA.

 
Lulu akiwa katika muonekana mpya na hii ni baada ya mdada huyo kutangaza kuachana na matumizi ya kilevi jambo ambalo kila mpenda watu wastaarabu watakuwa amemuunga mkono kwa kitendom hicho kwani pombe imekuwa ikiwabadilisha akili watumiaji wake na kujikuta wakifanya mambo yanayowakera watua ama jamii kwa ujumla. 


MTANDA BLOG nayo inaungana na kutoa pongezi za dhati kwa kitendo cha kutumia kilevi na kuongezea kama utaacha na tabia ya kujidhalilisha hasa kwa kuvaa nguo za nusu uchi utakuwa umekamilika mbele ya jamii ukizingatia wewe na wenzako ni kioo cha jamii.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: