BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JK APATA UGENI KUTOKA FINLAND, NI WAZIRI MKUU JYRKI KATAINEN APOKEWA UWANJA WA NDEGE WA MWL JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen akikagua gwaride la heshima liliandaliwa na jeshi la wananchi wa Tanzania wakati wa mapokezi rasmi yaliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa
Finland Jyrki Katainen wakipokea heshima katika jukwaa wakati wa mapokezi rasmi yaliyofanyika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuongoza mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen kukagua ngoma za utamaduni katika viwanja vya ikulu.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen wakikutana kwa faragha ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo rasmi na mgeni wake Waziri mkuu wa Finland Jyrki Katainen ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen mara baada ya kufanya mazungumzo rasmi ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Waziri Mkuu huyo yupo nchini Tanzania kwa ziara ya siku mbili(picha na Freddy Maro)
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: