BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MABAUNSA WAMKOSA KIDOGO TU KUMLAWITIWE MSANII WA VICHEKESHO BONGO KISA KUTEMBEA NA MKE WA MTU JIJINI DAR ES SALAAM.


James Kinyambe mchekeshaji mahiri Bongo.


Msanii aliyejichukulia umaarufu mkubwa kutokana na stairi yake ya uigizaji imesemekana ilikuwa alawitiwe endapo angenasa mtego huo wa fumanizi lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda.


Habari za uhakika zilizofanywa na webesite hii baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe.

.
Paparazi wetu ambae alifika eneo la Kawe ambako ndiko inakodaiwa msanii huyo alifumaniwa wakiongea kwa sharti ya kutotajwa majina yao walisema".



Huyu jamaa Mungu alikuwa upande wake kwani huyo jamaa mwenye mke alikuwa ameshaandaa mabaunsa kwa ajili ya kumlawiti msanii huyo lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda" Alisema mama mmoja ambae aliongeza kusema mabaunsa hao walikuwa wanne.


Mwandishi wetu alimtafuta Kinyambe kupitia simu yake ya mkononi aliendelea kusisitiza kuwa hakufumaniwa na wala hajawahi kufumaniwa huo ni mpango wa kumchafua.
chanzo:xdjayz
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: