Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima kuwa Naibu Waziri wa Fedha.
Hapa Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini.
Rais Jakaya Kikwete hapa akimuapisha Amos Makala kuwa Naibu Waziri wa Maji.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri wa Fedha.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia kuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.
Leo
Ikulu Jijini Dar es salaam Rais Jakaya Kikwete ilifanyika hafla ya
kuwaapisha Mawaziri wapya, hafla hiyo ilifanyika hapo hapo Ikulu,Hizi ni
baadhi ya picha za Mawaziri walioapishwa leo.
Picha hiyo ya kwanza na ya pili inamuonyesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpongezaWaziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania Faraja Kotta pamoja na familia yake baada ya kuapishwa na Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

0 comments:
Post a Comment