Ray C.
Rehema Chalamila kwenye stage ya muziki tunamjua kama Ray C.
Kitu kikubwa kinachosubiriwa kutoka kwake hivi sasa kazi zake mpya kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kitu cha kusubiria sio hicho tu bali Ray C Foundation ni kitu kingine kitakacho kuja kutoka kwa Ray C.
0 comments:
Post a Comment