Wamiliki wa daladala Manispaa ya Morogoro wamesikitisha kutoa huduma ya usafirishaji abiria ndani na Manispaa kwa kile kinachodaiwa kutozwa faini kubwa na askari wa uslama barabarani pindi magari hayo yanapokamatwa kwa makosa mbalimbali ambapo kwa wiki hudai hukamatwa mara mbili mpaka tatu huku kiwango cha faini hiyo kikitajwa kuwa ni kati ya sh30,000 hadi sh120,000 ikiwa kosa moja ni sh30,000.PICHA/MTANDA BLOG
Endelea kutembelea blog hii ili kuweza kukujuza kinachoendelea...
0 comments:
Post a Comment