BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA !!! WATU WANNE WAPOTEZA MAISHA KWA KUPIGWA NA WANANCHI HADI KUFA MKOANI MWANZA KISA NG'OMBE.

 
WATU wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti, Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.

Taarifa zaidi zitakujia baadaye kwa kadri tutakavyokuwa tunazipata.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: