MECHI YA YANGA NA AZAM FC, YANGA YAONGOZA BAO 1-0.
Mara nyingi David Mwantika anamchezea madhambi Okwi, kwa mtazamo wangu Yanga walistahili penati. 32’ Yanga inapata kona ya kwanza. (1-0)
31' Shuti kali la mbali kutoka kwa Okwi linatemwa na kipa Aishi Manula.
25' Shuti la Kavumbagu linadakwa kwa ustadi mkubwa na Aishi Manula
Erasto Nyoni anapewa kadi ya njano dk 24 kwa kumkwatua OkwiAzam wanawashambulia sana Yanga, Kipre anaisumbua sana ngome ya Yanga22' Shuti kali la Kipre linagonga Mwamba na kurudi ndani.
Azam wanapata bao lakini kabla ya mfungaji Kipre Tchetche alimfanyia madhambi Juma Abdul
20' Azam wanapata konba lakini inaokolewa na Yanga
18' Saimoni Msuva anakosa bao la wazi
Dakika ya 15, Young Africans 1 - 0 Azam FC
14' Goooooal Didier Kavumbagu anaipatia Yanga bao la kwanza baada ya kutokea piga nikupige katika lango la Azam FC.
DK 12 Azam wanapata faulo nje kidogo ya eneo la hatari, amefanyiwa madhambi Mcha Viali
5' Azam wanalishambulia lango la Yanga.
4' John Bocco amelala chin I baada ya kugongwa na kaseja wakti akitaka kuunganisha kona, lakini anainuka na kurudi uwanjani.
Azam wanapata kona baada ya Nadir kuurudisha mpira mkubwa kwa kipa wake.
2' krosi ya Gadiel Michael inadakwa na Juma Kaseja
Mpira umeanza uwanja wa taifa - Yanga 0 - 0 Azam
KIKOSI CHA YANGA
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Hamisi Kizza - 20
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1. Barthez, 2.Luhende, 3. Chuji, 4.Nizar, 5. Javu, 6. Tegete, 7. Ngasa
KIKOSI CHA AZAM FC
Aishi, Nyoni, Michael, Morad, Balou, Himid, Sure Boy, Bocco, Kipre Tchetche na Mcha. http://www.shaffihdauda.com/
0 comments:
Post a Comment