BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NI MLALO GANI MZURI ZAIDI WA KULALA WAKATI WA TENDO LA NDO LA KUSAKA MTOTO ?. JIBU NDILO HILI.


Linapokuja suala la kupata mtoto (conception) wengi huongea mengi hasa ni mlalo upi (love making position) unafaa zaidi ya
mwingine.

Je, mlalo mzuri kwa mwanamke ni upi?.
 Ingawa kuna tafiti chache sana kwenye hili suala jambo la msingi ni kufahamu nini huwa kinafanyika kule ndani baada ya mwanaume kuachia sperms mle ndani.


Haihitaji kuwa mtaalamu wa kuzungusha mwili ili kuwa na matokeo bora ya kutengeneza mtoto bali ni ubora wa zile mbegu na mazingira ya kule zinapandwa. 



Kimantiki mlalo wa baba na mama (missionary position) unatosha kabisa kutengeneza mtoto Kwani huwezesha mpenyo wa uhakika (deep penetration) kwa mbegu kufika mwanzo au katika eneo la mapokezi (anterior) tayari kusafirishwa kwenda ndani na pia mwanaume kuingia kwa nyuma (rear entry/doggy ) hupelekea mbegu kwenda moja kwa moja nyuma ya cervix (posterior) na kuhakikisha mtoto anatengenezwa.

 Kumbuka ubora wa mbegu ndicho kitu cha msingi Kwani mbegu kawaida husafiri umbali wa wastani wa km 45 kwa saa na chini ya hapo disaster. Jibu rahisi Hakuna umuhimu sana kwenye milalo kama suala ni kutengeneza mtoto mlalo wowote mtoto hupatikana kama mbegu ni bora.
Man and woman in bed
JE, NI VIZURI KULALA BAADA YA TENDO ?.
Wataalamu wanasema ni vizuri kulala (horizontal ) baada ya tendo pale tu kama wakati wa kutengeneza mtoto mama alikuwa juu ya mume wake au mama alikuwa amesimama, hii ni kusaidia kuzipa mbegu gravity ili ziogelee vizuri kwenda kiwandani hata hivyo kama mbegu zilizotoka ni bora (healthy ) bado zita swim na kupanda mlima wowote na kufika kiwandani tayari kwa kujichanganya na yai kufanya mtoto.

JE,KUFIKA KILELENI NI MUHIMU KATIKA KUTENGENEZA MTOTO ?.
Ingawa mbegu huweza kuvuja na kwenda zake hata kabla ya kuruhusiwa wakati mwanaume ameshasisimuka, bado suala la mwanaume kufika kileleni ni muhimu ili kuzipa mbegu mwendao kasi unaotakiwa. 



Tafiti mpya pia zinapendekeza
mwanamke afike kileleni wakati wa kutengeneza mtoto Kwani ile contraction wakati wa kufika kileleni husaidia kubeba mbegu kwenda kiwandani na hii huwa nzuri zaidi kama baba na mama watafika kileleni pamoja.

JE,MLALO GANI UNASAIDIA KUPATA WA JINSIA UIPENDAYO ?.
Hata kama kuna imani nyingi na hadithi nyingi kuhusu milalo na jinsia za watoto ukweli ni kwamba milalo haina uhusiano na jinsi ya mtoto. Kinachofanikisha jinsia ya mtoto ni timing ya siku mwanamke anapokuwa fertile na mara ngapi sex wanafanya katika hicho kipindi ambapo mwanamke anakuwa
fertile.


JE, NIFANYE SEX MARA NGAPI KUPATA MTOTO ?.
kama nilivyoeleza hapo juu timing ndo wimbo wa mchezo wa kutengeneza mtoto. 



Kuongeza nafasi ya kupata mtoto ni vizuri baba
na mama kufanya mapenzi siku moja au mbili kabla ya mama kuwa fertile au siku ileile ambayo mama anakuwa fertile. Pia ni vizuri mama kufanya mazoezi ya recording ya mzunguko wake ili kujua lini anakuwa fertile ndipo wafanye timing.



Au mnaweza kwenda madaktari au maduka ya masuala ya mambo ya uzazi na mkanunua Ovulation Prediction kit na mkawa nacho nyumbani.

NB:
Ewe mwanamke usicheze na sperms kama huna mpango wa kushika mimba, kitendo cha kushika sperms na mikono yako then ukagusa ndani ya uke wako kwa vidole ambavyo viligusa sperms
unaweza kushika mimba, au hata kama umevaa chupi sperms zina u-genius zinaweza kusababisha mimba. Kaa mbali na sperms kama huna mpango wa kupata mimba !.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: