Mafataki yakilipuka katika viwanja vya ikulu ikiwa ni moja ya burudani katika sherehe hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa na Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964 hafla hiyo iilifanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Seif Ali Idd, Waziri Mkuu Tanzania Mh. Mizengo Pinda na viongozi mbalimbali wa serikali taasisi za dini na vyma vya siasa, Kushoto ni Mke wa Rais mama Salma Kikwete na kushoto ni Mkewa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakiwalisha keki wake zao katika hafla hiyo. Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kifaa maalum cha kufyatua mafataki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Msanii MwanaFA aka Binamu.Wazee wa Politiko Lifo Chipaka na Fahmi Dovutwa kulia wakifurahia Muungano.Wasanii mbalimbali walikuwepo katika hafla hiyo.Wadau kutoka Lugumi Enterprises walihudhuria katika hafla hiyo.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jembe Jesca Msambatavangu kushoto na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu wakiwa katika hafla hiyo.Mama Arafa Ridhiwani akiwa na ndugu zake katika hafla hiyo.Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na Mama Arafa Ridhiwani Kikwete kulia pamoja na ndugu zake.Wadau wa Fullshangwe wakakaa mble ya Kamera.gRais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein kulia, Dr. Gharib Bilal Makamu wa Rais wa pili kutoka kulia ni Balozi Seif Ali Idd Makamu wa pili wa Rais Zanzibar wakiongoza watanzannia katika hafla hiyo.Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Kijana Calvin Nyoni Mshindi wa Musiki wa kizazi kipya kwa ajili ya sherehe za Muungano wa TanzaniaKikundi cha muziki kikiburudisha katika hafla hiyo kwenye viwanja vya Ikulu.Babu Tale Meneja wa Diamond kushoto nia Mkubwa Fella kiongozi wa kundi la TMK Family walikuwepo pia.Kulia ni Mzee Nyantori kutoka Idara ya Habari Maelezo kulia, Mdau Cliford Tandali katikati na Nyakia kutoka CCM Makao makuu. Waziri wa Habari, Maendeleo ya Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akizungumza na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw, Gabriel Nderumaki na mdau Mabhare Matinyi katikati.Wadau wa Fullshangwe kutoka Zanzibar.Wake wa viongozi katika picha ya pamoja.Wadau wa Fullshangwe Mamaa Farida kushoto na Matrina wakipozi mbele ya Keki.Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati kundi la muziki wa Taarabu kutoka Zanzibar lilipokuwa likitumbuiza jukwaani.Wadau Esther Zelamula na mume wake kulia ni Frola Wingia wa Nipashe walikuwepo pia.Mdau David Robert na mke wake Alice pia walikuwepo katika hafla hiyo.Kikundi cha ngoma kikitumuiza jukwaaniMwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Bw. Joseph Msukuma wa kwanza kulia na Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Simiyu Bw. Njalu Silanga wa pili kutoka kulia pamoja na wadau wengine wamehudhuria pia katika hafla hiyo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / ALICHOFANYA KIKWETE BAADA YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA VIWANJA VYA IKULU NDIVYO HII.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment