Daraja la linalotenganisha kati ya kijiji cha Doma na hifadhi ya taifa ya Mikumi likiwa limepinda kutokana na kingo za daraja hilo udongo wake kusombwa na maji ya mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini na kuleta hali ya taharuki kwa vyombo vya usafiri wanaotumia barabara kuu ya Iringa-Morogoro kutokana na eneo hilo magari kupita kwa tahadhari mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment