BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LULU NA JOTO WAFURAHIA HARUSI.


sasa unaweza kumbusu bibi harusi !.


Msanii wa Orijino Komedi Joti na msanii wa filamu Lulu, wakikumbatiana katika picha za harusi, huku MC Pilipili wa harusi hiyo akishuhudia kwa shauku.

wamependezaje!!!!

Kujua undani wa harusi hii, usikose kuangalia ITV Jumamosi hii, saa 4:00 Usiku...Live !.PICHA: Josephat Lukaza.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: