Brazuka 2014, Kimataifa
Mshambuliaji wa Nigeria Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
BAO
pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter Odemwingie katika mchezo wa
kombe la dunia limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi
ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina
Kitu kambani: Odemwingie akiwa ametumbukiza mpira nyavuni.
Odemwingie (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea pasi kutoka kwa Emmanuel Emenike (kulia).
Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.
Kikosi cha Nigeria: Enyeama 7, Oshaniwa 6, Yobo 6, Omeruo 6, Ambrose 6, Onazi 7, Mikel 6, Babatunde 6 (Uzoenyi 75), Musa 7 (Ambeobi 66 5) Odemwingie 8, Emenike 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ejide, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Moses, Odunlami, Azeez, Nwofor, Uchebo, Agbim.
Kadi ya njano: Mikel
Mfungaji wa goli: Odemwingie
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: Begovic 7, Mundza 6, Sunjic 6, Spahic 5, Lulic 6 (Salihovic 58 6), Besic 7, Misimovic 6, Medunjanin 6 (Susic 64 5), Hajrovic 6 (Ibisevic 57 6), Pjanic 8, Dzeko 6
Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Bicakcic, Kolasinac, Vranjes, Ibricic, Visca, Hadzic, Avdukic.
Kadi ya njano: Medunjanin
Mwamuzi: Peter O’Leary (New Zealand)
*Viwango vya wachezaji na Joe Bernstein
Hakuna njia: Mshambuliaji wa Bosnia, Edin Dzeko (kulia) akiangushwa chini na kiungo wa Nigeria John Obi Mikel
Rudi hapa wewe!: mchezaji wa Bosnia, Muhamed Besic (kulia) akivuta kiatu cha Michael Babatunde baada ya kuzidiwa maarifa.

Peter Odemwingie akiwa amekifunga bao golini.
Mshambuliaji wa Nigeria Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter Odemwingie katika mchezo wa kombe la dunia limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia.
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina
Odemwingie (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea pasi kutoka kwa Emmanuel Emenike (kulia).
Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.
Kikosi cha Nigeria: Enyeama 7, Oshaniwa 6, Yobo 6, Omeruo 6, Ambrose 6, Onazi 7, Mikel 6, Babatunde 6 (Uzoenyi 75), Musa 7 (Ambeobi 66 5) Odemwingie 8, Emenike 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ejide, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Moses, Odunlami, Azeez, Nwofor, Uchebo, Agbim.
Kadi ya njano: Mikel
Mfungaji wa goli: Odemwingie
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: Begovic 7, Mundza 6, Sunjic 6, Spahic 5, Lulic 6 (Salihovic 58 6), Besic 7, Misimovic 6, Medunjanin 6 (Susic 64 5), Hajrovic 6 (Ibisevic 57 6), Pjanic 8, Dzeko 6
Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Bicakcic, Kolasinac, Vranjes, Ibricic, Visca, Hadzic, Avdukic.
Kadi ya njano: Medunjanin
Mwamuzi: Peter O'Leary (New Zealand)
Viwango vya wachezaji na Joe Bernstein
Hakuna njia: Mshambuliaji wa Bosnia, Edin Dzeko (kulia) akiangushwa chini na kiungo wa Nigeria John Obi Mikel
Rudi hapa wewe!: mchezaji wa Bosnia, Muhamed Besic (kulia) akivuta kiatu cha Michael Babatunde baada ya kuzidiwa maarifa.
Messi akishangilia bao baada ya kuifungia Argentina dhidi ya Iran.
ARGENTINA 1-0 IRAN.
Baada ya kupata sare dhidi ya Nigeria katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la dunia, timu ya taifa ya Iran leo ilikutana na Argentina.
Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 1-0 kwa Argentina, shukrani kwa goli la dakika ya tisini na moja la aliyekuwa mchezaji bora wa dunia kwa mara nne mfululizo Lionel messi.
Iran walipoteza nafasi kadhaa za kufunga huku wakicheza vizuri dhidi ya Argentina, iliyojaa mastaa wakubwa wa soka duniani.
Kwa matokeo hayo Argentina inakata tiketi ya kuingia hatua ya mtoano ya michuano.
UJERUMANI 2-2 GHANA.
Wawakilishi wa soka kutoka Africa kwenye michuano ya Kombe la dunia Ghana leo wametupa karata nyingine kwenye mchezo dhidi ya Ujerumani.
Mchezo ulioisha muda mfupi, uliopita umeisha kwa matokeo ya sare ya 2-2.
Ujerumani walianza kuliona lango la katika dakika ya 51 kupitia mchezaji Mario Gotze, lakini dakika 3 baadae Ghana wakasawazisha kupitia Andrew Ayew.
Dakika ya 63 Asamoah Gyan akaifungia bao la pili, na baadae kidogo akitokea benchi mshambuliaji Mislave Klose akaisawazishia Ujerumani.
Kutokana na kufunga bao hilo, Klose sasa amefikia rekodi ya Ronaldo de Lima kufunga jumla ya magoli 15 kwenye michuano ya kombe la dunia.
0 comments:
Post a Comment