AFANDE SELE.
MSANII Seleman Msindi a.k.a Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wako kwenye
list ya wasanii wanaotimiza miaka 15 ya muziki wao, katika miaka hii 15
Afande Sele ameamua kufanya party ambayo itakua maalum kwa ajili ya
wapenda muziki wote.
Kabla ya party hiyo Afande Sele ameamua kuachia wimbo huu ambao ameupa jina la miaka 10.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment