BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BABATI YAHITIMISHA WIKI YA SERIKALI ZA MITAA 2014 KWA KUANIKA KAZI ZAKE KWA KILA IDARA KWA WANANCHI.

Baadhi ya watumishi wa idara ya afya wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, wakiwaonyesha wananchi waliotembelea banda lao, namna wanavyotoa huduma za afya kwa mama mjamzito, katika kilele cha wiki ya Serikali za Mitaa jana kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati.PICHA/JOSEPH LYIMO.

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Andrew Ombay (Baba Salawo) akizungumza jana kwenye kilele cha wiki ya Serikali za Mitaa, ambapo alisema utawala wa Serikali za Mitaa ulianza kabla ya ukoloni ambapo machifu walikuwa wanaongoza utawala huo.
Ofisa habari wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, Grace Msovela na baadhi ya viongozi wengine wa halmashauri ya mji huo wakikagua vyeti kabla ya kuvikabidhi kwa washindi wa mabanda ya idara mbalimbali za mji huo kwenye hitimisho la wiki ya Serikali za Mitaa ambapo kauli mbiu yake ni Katiba mpya izingatie kuwa Serikali za Mitaa ni msingi wa maendeleo endelevu:Mwananchi shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: