Wafanyabiasharwa wa machungwa katika soko la matunda la Mawenzi Manispaa ya Morogoro wakisubiri wateja wao kwa ajili ya kuwauzia ambapo chungwa moja huuzwa sh50 kwa bei ya jumla mkoani Morogoro.
Mfanyabiashara wa machungwa katika soko la matunda la Mawenzi akiweka
machungwa hayo katika tenga wakati akifanya kazi ya kusoma na kuyaingiza
sokoni kwa ajili ya kuwauzia wateja wake ambapo chungwa moja huuzwa kwa
sh50 kwa bei ya jumla mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment