BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAONYESHO YA SIKU YA UYOGA MZUMBE MOROGORO.

Mweka hazina wa kikundi cha Mkuata Vikenge katika mji mdogo wa Mzumbe, Maria Shindika kulia akimwonyesha na kumshawishi kununua uyoga mkazi wa kijiji hicho wakati wa siku ya maonyesho ya uyoga yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya Mongola mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG

Mwenyekiti wa Dar es Salaam Mushroom Growers Association (DMGA) Judith Muro akionyesha ungo wenye uyoga wakati wa maonyesho hayo. PICHA/MTANDA BLOG
Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka akizungumza jambo wakati wa maonyesho hayo, kushoto ni Mwenyekiti wa Dar es Salaam Mushroom Growers Association (DMGA) Judith Muro.PICHA/MTANDA BLOG
Mwenyekiti wa kikundi cha Umoja Group cha Mikese, Mweleza Maruma kushoto akifafanua jambo kwa Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka juu ya zao la uyoga  wakati wa siku ya maonyesho ya uyoga yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya Mongola kijiji cha Vikenge katika mji mdogo wa Mzumbe mkoani Morogoro. wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Dar es Salaam Mushroom Growers Association (DMGA) Judith Muro.PICHA/MTANDA BLOG
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: