BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANARIADHA MLEMAVU ALIYEMPIGA RISASI MPENZI WAKE WA KIKE NA KUFARIKI DUNIA KUMBE AMEATHIRIKA NA MSONGO WA MAWAZO..

oscarpistoriusMwanariadha wa Afrika Kusini asiye na miguu yote miwili Oscar Pistorius ameathirika vibaya kutokana na ulemavu wake, daktari wa michezo ameiambia mahakama inayosikiliza kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha huyo.

Wayne Derman ameiambia mahakama mjini Pretoria kuwa bingwa huyo wa olimpiki ameathirika vibaya "kutokana na msongo wa mawazo na hofu".

Alisema kuwa Pistorius alimuua kwa kumpiga risasi rafiki yake wa kike Reeva Steenkamp baada ya kumdhania ni mwizi aliyeingia ndani ya nyumba yao mwaka jana.

Upande wa mashitaka unasema kuwa Pistorius alimuua kwa makusudi Bi Steenkamp baada ya kuzozana.

Suala linaloangaliwa ni akili ya Pistorius wakati akifyatua risasi dhidi ya Reeva.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: