BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HATUWAWEZI !!!. STARS YAGONGA MWAMBA KATIKA MASHINDANO YA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA MBELE YA MSUMBIJI, YADUZWA KWA BAO 2-1.


TIMU ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' imeondolewa katika mashindano ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Mataifa Afrika kwa mwaka 2015 kufuatia kulala kwa bao 2-1 na timu ya Taifa ya Msumbiji 'MAMBAZ' leo Mjini Maputo.
Mechi hiyo imepigwa Maputo nchini Msumbiji ambapo Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya sare ya 2-2 katika mchezo kwa kwanza uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar Julai 20 mwaka huu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: