BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UHONDO WA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWL JULIUS NYERERE NANE NANE MOROGORO 2014.

Meneja uzalishaji wa kampuni ya mbegu ya Pop Vriend, Samson Meshack akifafanua juu zao la bilinganya kwa wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya shahada ya biolojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakati walipotembelea vipando vya banda la farmbase katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.

Meneja uzalishaji wa kampuni ya mbegu ya Pop Vriend, Samson Meshack akielezea mboga aina ya kebichi kwa baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya shahada ya biolojia katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakati walipotembelea vipando vya banda la farmbase katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.
 Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Anthony Mtaka na Mwandishi wa Uhuru Latifa Ganzel katika maonyesho ya wakulima Nane Nane Kanda ya Mashariki

Vipando vya banda la farmbase juu, ni mboga mboga aina ya kebichi na nyanya katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki katika uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG.
 Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi akishangaa cocoa kutoka wilaya ya Mvomero katika maosnyesha hayo

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene mambo mbalimbali katika maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki.PICHA/MTANDA BLOG


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: