Dereva wa daladala inayofanya kazi ya kusafirisha abiria
kati ya Kihonda na mjini Manispaa ya Morogoro akimwangalia kijana
aliyeamua kulala katikati ya barabara ya Korogwe jirani na benki ya
barclays jambo ambalo liliwafanya madereva kusimama kisha kumwondoa ili
wapate nafasi ya kupite, hata hivyo haikuweza kufahamikama mara moja kama kijana
huyo ana mapungufu ya akili ama laa.PICHA/MTANDA BLOG
0 comments:
Post a Comment